BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Uishi wakati unasubiri kifoTuishi
Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Starehe fupi za DuniaMaskini ndie anasema anasubiri kufa, juzi kati nmetoka na washikaji tumejichanga kwa ajili ya kwenda kula na kunywa aisee haya maisha ni matamu mno na pesa ni kila kitu
Sasa lengo la kuwepo Duniani ni lipiUnataka kuishi milele wew ni nani au malaika??
DahTupo duniani kwa mahaba ya watu wawili waliondekeza hisia zao bila kutushirikisha km tunahitaji kuja au lah! 🤣🤣🤣
Bc kufaStarehe fupi za Dunia
Kuishi tu na imeandikwa kila aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi duniani ni chache sana.Sasa lengo la kuwepo Duniani ni lipi
Kwasababu ni mahala tunaishi then ndo tunasepa.Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Tupo duniani kwa mahaba ya watu wawili waliondekeza hisia zao bila kutushirikisha km tunahitaji kuja au lah! 🤣🤣🤣
Tupo duniani kwa mahaba ya watu wawili waliondekeza hisia zao bila kutushirikisha km tunahitaji kuja au lah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]