Kwanini wanafunzi wengi wanafeli?unajua kunanini nyuma ya pazia


6.Serikali kutokujali
7.haraka za wasahihishaji wakihimizwa na Necta ili wawahi kumaliza katika kubana posho
 
walimu tunahusika kwa vipi hapa??hebu acha upuuz mshahara wenyewe unaisha siku mbili tu halafu bado mwatupa lawama

Punguza hasira mkuu nilikuwa najib post ya jamaa wa hapo juu. By the way ni mshahara upi ukipewa utakutosha mkuu?
 
Hakuna hiyo kitu , either hiyo mitihani ni chini ya 'Standards' zinazotakiwa au ,
unatuhadaa ili kuondoa lawama kwa wanafunzi ambao baadhi yao wamejitakia,
Halafu NECTA haifelishi mwanafunzi yeyote...

Standard sahihi ya mtihani ni mtihani ambao asilimia 50 hadi ya 64 watahiniwa wanafaulu. Inapotokea asilimia kubwa sana wanafaulu mfano 90% basi mtihani rahisi sana. Hali kadhalika ikitokea kiwango kikubwa wanafeli aidha mtihani mgumu au wanafunzi sifuri. Binafsi nahisi tatizo uwelewa mdogo wa lugha ya kingereza unachangia pakubwa kufeli mtihani.
 

Mkuu hapa kwa upande wangu naona kama silabasi haiishi kwahiyo utakuta mwalimu anavyotunga mitihani ile ya ndani anatunga mpaka wanapoishia ila necta wao wanaangalia silabasi ambayo kwa kiasi kikubwa walimu hawaimalizi
 

Sema umeshindwa kujenga hoja wewe acha kujitetea tetea uongo hapa
 

Some how im with u
 
Hakuna hiyo kitu , either hiyo mitihani ni chini ya 'Standards' zinazotakiwa au ,
unatuhadaa ili kuondoa lawama kwa wanafunzi ambao baadhi yao wamejitakia,
Halafu NECTA haifelishi mwanafunzi yeyote...

Ukisema necta haifelishi mtu unakosea maana kuna mtu ambae ninamfahamu alisoma HGL matokeo yake yakatoka na majibu ya EGM ana four na baada ya kufuatilia sana akapewa ya HGL ambayo nayo hayakuwa mazuri
 
Jamani shule za Advance ni chache sasa tukishinda wote tutaenda wapi.Kuchagulia kushinda na kwenda Advance ni bahati ya mtu ndo kilichobaki.
 
mie nafikiri kama mithihani ya shuleni anafaulu halafu wa mwisho anafail,kuna mawili either mithihani ya mashuleni inakuwa mirahisi sana au mithihani wanayoifanya huko mashuleni inakuwa inajirudia rudia so watoto wanakariri njinsi ya kusolve na sio kujua njinsi ya kufanya,hakuna hujuma,je wanaofaulu kiati ya hao wachache wanafanyaje?
 

sina hakika kama upo sahihi zaidi ya kukushauri usitegemee sana akili yako hasa ukuzingatia hoja yako haiwezi kuwa na majibu rahisi hivyo kama ya politicians wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…