Me huwa nawaita weh jamaaViongozi hususani wa kisiasa wamekuwa wakiitwa au wakiitana waheshimiwa sijui sisi wengine tunaonekanaje hata yani!!?
Utakuta mtu ambae ni mbunge waziri diwani mkuu wa wilaya/mkoa mkurugenzi nk kwenye vikao/mikutano yao neno hilo limetawala hadi kero (kwangu mimi)
Nauliza hivyo maana utasikia mheshimiwa fulani mheshimiwa fulani yaani hata mtu ana title fulani itatajwa lakini neno mheshimiwa lazima lianze, kwanini?