Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?



Mmh hii kali xana kama ni kweli
 
Kama masoja wetu wanashitukizwa kambini na kushambulia tunahitaji asset on the sky arround hilo kambi,
basi tuazime zile drone alizoleta nyarandu kwa ajili ya wanyama pori kama hatuwezi kununua drone japo drone moja haizidi hata shs milioni 50,
hiyo drone iwe ina patrol maeneo ya pori ili iweze kuona wavamizi kabla hawajafika eneo la kambi.
Sasa sijui hilo nalo gumu ,kama vijana huwa hawatoshi kulinda kambi usiku,
maana inatakiwa uwe na intelligence ya kuona tukio kabla halijatokea.
Sasa kundi kubwa la waasi lina approach kambi hadi kufika bila wzatu kuwa na habari kweli?
 
Uswahiba huu Mbagamoyo aliyaona na ndio maana kulikuwa poa BUT now mmh!!
 
And soon atamlipa kwa kuondoa jeshi huko Congo.
 

Hujawaifika hata chalinze kelele nyingi kujifanya wajuaj kumbe 0 brain na kongo watafta nin kujifanya wasamaria wema kumbe wapuuz anaefaidika pale n south africa America na israel
 
Huu ndio usenge wa mwisho kabisa. Kundi lolote na likiwa na viongozi wenye majina ya kiislamu basi linahusishwa na dini ya uislamu. Lakini tumeshuhudia Australia wameamua kufirana lakini hakuna kuhusishwa na dini.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 

Umeongea bonge la pointi mkuu.
Watu wanasahau kuwa Kongo kuna vita sababu Kuu ni hujuma za wazungu ili waendelee kuvuna utajiri wa Congo bure. Kusingekuwa na hujuma hii ya Mzungu Kongo ingekuwa shwari muda huu na kama ni vurugu zingekuwa ni za hapa na pale na sio za kuifanya Kongo hoi kiasi hiki.

Wazungu hawataki pawe na Amani Kongo. Pakiwa na Amani Kongo wazungu hawatofaidi vya bure kutoka Kongo

Inakadiriwa kuwa utajiri wa madini na maliasili zingine zilizopo Kongo ni zaidi ya utajiri wa marekani na ulaya magharibi

Kwa hiyo wazungu wanaendesha vita Kongo. Makundi yote hayo yanafadhiliwa kwa Njia mbalimbali na wazungu au maajenti wao. Harakati zozote za kuleta Amani pale zinavurugwa na haziungwi mkono na hao wazungu

Mwanajeshi mtanzania akipigwa pale anaweza akawa ni mipango ya Rwanda, au baadhi ya wakongomani wenyewe waliovurugwa akili au wanaweza kuwa ni wazungu.

Na kwasasa hasa wazungu ndio wakushukiwa. Sababu ni kubanwa kwao hapa kwetu. Wazungu wanapenda vya bure
 
Mzungu yupo anainyonya Kongo miaka na miaka. Anaijua Kongo nje Ndani. Mashirika yao ya kijajusi yameweka viota pale. Wana mawasiliano na vikundi vingi kwa kuhalifu na kigaidi ambavyo zingine wameviunda wenyewe na wanavifadhili wenyewe.

Mzungu anaweza akaamrisha chochote na kikafanyika pale Kongo. Tumemuudhi huku analipiza Kule

Kagame nna waswas kama anaweza kuamua vile. Anajua tukichunguza na tukipata uhakika wa uhusika wake ataona kilichomtoa manyoya shingoni.

Hao kina adf sijui ni mabangi tu au ni wa kutumika tu kama toilet pepa
 
Hiv mkuu wa kikosi kile kilicho futilia mbali m23 yupo?c apelekwe kule akaokoe jaazi?
 
Kumbuka kuna kushinda na kushindwa mkuu,usitumaini kila kukicha jeshi huwa linashinda kila sehemu hadi kushindwa ipo
 
Kwa miaka mingi hujuma dhidi ya maisha ya watu pale Kongo haina kipimo. Kuuawa ni kitu kidogo sana. Nashangaa Bomu moja likipigwa Kule Paris waafrika wanakesha wakilia wakati mabomu na vifo vya aina na aina vinatokea Kongo kila siku Lakini waafrika huwasikii hata wakilaani
 
Hujawaifika hata chalinze kelele nyingi kujifanya wajuaj kumbe 0 brain na kongo watafta nin kujifanya wasamaria wema kumbe wapuuz anaefaidika pale n south africa America na israel
Ipo siku tu!
 
Point mkuu[emoji109]
 
Tiss tusaidieni nini kinaendelea congo kwa wanajeshi wa TZ, RIP our commanders
 
nahisi NIKWELI kwa asilimia nyingi mkuu
 
Mkuu Wakikosi kilichokua Kongo Sasa hivi ndie mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Lt Gen. D.Mwakibolwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…