MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu, tukusanye hela halafu tununue treni na mabehewa.
Katika mabehewà haya 8, tutabakiza mabehewa 3 kwa ajili ya wanaJF kusafiri bure na mengine 5 yatabaki kwa ajili ya abiria na kufanya biashara.