MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wazo zuri sana!Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu ,tukusanye hela halafu tununue treni na mabehewa.
Katika mabehewà haya 8, tutabakiza mabehewa 3 kwa ajili ya wanaJF kusafiri bure na mengine 5 yatabaki kwa ajili ya abiria na kufanya biashara.
KITAKUWA KINAPITA MTAA GANIWakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu ,tukusanye hela halafu tununue treni na mabehewa.
Katika mabehewà haya 8, tutabakiza mabehewa 3 kwa ajili ya wanaJF kusafiri bure na mengine 5 yatabaki kwa ajili ya abiria na kufanya biashara.
dar to dodoma kwenye reli ya sgrKITAKUWA KINAPITA MTAA GANI
SGR railway!KITAKUWA KINAPITA MTAA GANI
Wazo zuri na mimi kuna mdada mmoja mshikaji wangu anatengeza supu na makongoro vizuri sana napendekeza apewe nafasi ya kuuza ndani ya sgr.Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu ,tukusanye hela halafu tununue treni na mabehewa.
Katika mabehewà haya 8, tutabakiza mabehewa 3 kwa ajili ya wanaJF kusafiri bure na mengine 5 yatabaki kwa ajili ya abiria na kufanya biashara.
Asije akatuuzia ya punda!Wazo zuri na mimi kuna mdada mmoja mshikaji wangu anatengeza supu na makongoro vizuri sana napendekeza apewe nafasi ya kuuza ndani ya sgr.
lete budget/makadirioWakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu ,tukusanye hela halafu tununue treni na mabehewa.
Katika mabehewà haya 8, tutabakiza mabehewa 3 kwa ajili ya wanaJF kusafiri bure na mengine 5 yatabaki kwa ajili ya abiria na kufanya biashara.
Nafasi hiyo ilikwisha fungwa, kijana wenu amemaliza darasa la saba na ameweza kusimamixNyie nunueni, meneja mmeshanipata niko hapa.
Usijali yatapuliziwa rangi za mchina zinazong'aa.Asije akatuuzia ya punda!
Mlinzi wa Ngedere na Bundi tayari niko hapa,haya mchakato uanze mara moja hakuna kuchelewa!!Nyie nunueni, meneja mmeshanipata niko hapa.