Kwanini wanamasumbwi (Boxers) wapigane tumbo wazi ???

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Karibuni wakuu nadhani mko poa, naomba mnielimishe ni nani aliyetaka wanamasumbwi ( Boxers) wapigane wakiwa tumbo wazi hasa wale wa ngumi za uzito wa juu ???

Na sababu yake ni nini ............ na kwanini bado inaendelezwa hadi leo hii je, hawaoni kama ni uzalilishaji ?????

Naombeni jibu.
 
Wanawake wanavaa sidiria na vitop vya kiana. Ni dalili ya ubabe hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…