Kwanini wanamuziki wa tiptop hawapo wasafi festival???

Kwanini wanamuziki wa tiptop hawapo wasafi festival???

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Wanamuziki,kama
Madee,
Dogo janja( huyu yupo fiesta)
Keysha
Kassim mganga
Tunda man
Mbona hawapo kwenye tamasha la wasafi festival?
 
Sisi tumechukua wale waliokuwa wanabaniwa sana nyimbo zao
 
Hao hawajamramba naniii dai so mpaka waende kumuabudu jamaa wa tandale ndo watapata nafasi
 
Back
Top Bottom