Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakija naomba unijuze fundi mkuu
Sasa watu hawali ugali,hawali mihogo, ndizi, kiti moto mboga, nguvu watatoa wapi??
Hizi vyakula mbona hata Ulaya hawali mkuu, lakini unaona walivyo ngangari...Ujerumani wakicheza na Tanzania, Tanzania analamba hata 12-0Sasa watu hawali ugali,hawali mihogo, ndizi, kiti moto mboga, nguvu watatoa wapi??
kwenye tende tambi na kashata??
Watu wa kule ni wavivu sana+vyakula vibovu lazima walegeeHizi vyakula mbona hata Ulaya hawali mkuu, lakini unaona walivyo ngangari...Ujerumani wakicheza na Tanzania, Tanzania analamba hata 12-0
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechokoza nyukiHuyu mwanamuziki wa Zanzibar anaitwa nani, na ni kwa nini wanamuziki wengi wa kiume Zanzibar wapo hivi?
Wakati ile ni nchi ya maadili sana kuliko kawaida?
View attachment 1325640
Sent using Jamii Forums mobile app