Kwanini wanaohusika na utoaji mimba hawashitakiwi?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
kutoa mimba ni uuaji wa kikatili kwa kiumbe kisicho na hatia tena kisichoweza kujitetea. visa vya utoaji mimba yaani uuaji wa watoto ambao hawajazaliwa ni vingi. sijui kwanini wanaotoa mimba, madaktari, wauguzi na wote wanaoshiriki hawapelekwi mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…