Kwanini wanaoishangilia CCM ikishinda chaguzi wanazidi kupungua?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Namshukuru Mungu kuwa miongoni mwa watanzania waliopata bahati kushiriki siasa za Tanzania tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingine mwaka 1995.

Lakini Kila miaka inavyosonga mbele naona idadi ya watanzania wanaoishangilia CCM ikitangazwa kushinda chaguzi yoyote ile, inazidi kupungua.

Watanzania hawapendi CCM ishinde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…