Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma, mbona chawa wao wamekomaa tu Dar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanaoga maziwa ili kulinda ngozi zao, kwani nayo hayapo?Maji ni shida sana , halaf hakuna pesa
Mbowe ambaye wewe ni chawa wake anakaa Dodoma?Ni kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma,bona chawa wao wamekomaa tu Dar?
View attachment 3015688
umetembea mulemule ,huyu jamaa nimemshangaa sana , kazi anayofanya tundulisu kanda yakati nikubwa akini sioni bandiko zakeMbona wewe haupo Machame kwenye ghorofa la mfadhili wako?
nampenda sana mrithi wa chairman chadema Taifa, cheki alivyofurahi kumpokea RaisNi kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma,bona chawa wao wamekomaa tu Dar?
View attachment 3015688

Ahahahahaha! Ghorofa jipya! Ahahahahaha!!!Mbona wewe haupo Machame kwenye ghorofa la mfadhili wako?
uko nje ya madaMbona wewe haupo Machame kwenye ghorofa la mfadhili wako?
Weka ushahidiMbowe ambaye wewe ni chawa wake anakaa Dodoma?
😆😆😆😆Chura yuko Dar, unategemea chawa ataishi vipi Dodoma?
Ushahidi gani? Kwamba wewe ni chawa wa Mbowe na hukai Dodoma au Mbowe ambaye wewe ni chawa wake hakai Dodoma?Weka ushahidi
endelea kujikuna mwenyeweUshahidi gani? Kwamba wewe ni chawa wa Mbowe na hukai Dodoma au Mbowe ambaye wewe ni chawa wake hakai Dodoma?
Ahahahahaha! Uwezo mdogo wa kujenga hoja eti mnataka kwenda Ikulu! Pumbavu!!endelea kujikuna mwenyewe
HayaAhahahahaha! Uwezo mdogo wa kujenga hoja eti mnataka kwenda Ikulu! Pumbavu!!
Ni kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma,bona chawa wao wamekomaa tu Dar?
View attachment 3015688