Kwanini wanaoitwa Chawa na Wasanii Maarufu hawataki kuishi Dodoma, Makao Makuu ya wanaowapa hela?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma, mbona chawa wao wamekomaa tu Dar?

 
Mkuu Dodoma sio mbaya itafika wakati tena bila kuambiwa wenyewe watafungua makazi IDODONYA.
Lakini kama hakuna uchumi wako tiyari kupiga show au kuishi kisiwq cha Mafia au kisiwa cha Bumbile mkoa wa Kagera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…