GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa.
Chanzo: azamtvtz
Halafu kwanini baada ya Wazee wa Tanga kutishia kusoma Albadiri ni Watu wa CCM mnahaha na mnaogopa sana?
Chanzo: azamtvtz
Halafu kwanini baada ya Wazee wa Tanga kutishia kusoma Albadiri ni Watu wa CCM mnahaha na mnaogopa sana?