GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 21, 2024 #1 Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jun 21, 2024 #2 π π π π π π π π lazima upige story sana kumfurahisha boss azidi kugawa offer na maokoto.
π π π π π π π π lazima upige story sana kumfurahisha boss azidi kugawa offer na maokoto.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 22, 2024 #3 Hulka ya binadamu... Cc: Mahondaw
Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Jun 22, 2024 #5 Hofu ya kuonekana hawana hata Mchango wa Story π