Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nenda radio zote, hasa za mikoani utaona wana vipindi kibao vikitangaza tiba asili na tiba mbadala. Wengi unawakuta wanaelezea magonjwa kama UTI, utasa, nguvu za kiume nk. Wengi wanaelezea kwa uelewa wa kuungaunga na upotoshaji. Sheria ya kutotangaza huduma ya afya iliwekwa kwa ili kumlinda mwananchi. Sasa mbona hawa watu wa tiba asili, wa tiba mbadala na wa tiba za kidini wameachwa kufanya watakavyo?