kwa sababu hii miti ya asili haina kemikali,au muunganiko wa kikemikali{mchanyiko wa kemikali moja kutengeneza dawa moja,ambapo ikama m2 hajasomea miaka mingi 5 hawezi kuruhusiwa,mfano hauwezi kumruhusu m2 wa darasa la7 au ata form six grauate akauza dawa,atauwa kijiji mazee,lakini miti shamba haina madhara sana kwani haina kemikali nyingi,hamna chuo kilichosajiliwa kwa masomo ya tiba asili mazee,kwa ivo ukikaa na bibi au babu yako kwa muda kadhaa tayari una PHD mjomba!!!