ni kwa sababu laana donot exist, it is just kutishanaMara nyingi, tumekuwa tukisikia taasisi za kijamii, wanaharakati, wananchi nk wakiilaani nchi fulani au viongozi wa kisiasa kwa madai kwamba wamekosea au kutenda jambo linalowaletea maumivu.
Wakati mwingine watu wenye dini nao husikika wakitamka maneno ya laana dhidi ya wale wanaoona wamekosea. Na wengine huwaombea wakosaji wapatwe na mabaya kama kifo, magonjwa au ajali. Kwanini mara nyingi, laana hizo hazitimii au haziwapati wanaolaaniwa?
Sababu kubwa ni kwamba Mungu hapendi tuwalaani wenzetu. Maandiko yanasema hivi katika Warumi 12:14
"Wabarikini wale wanaowaudhi, barikini wala msilaani..” Tafsiri nyingine ya andiko hilo inasema: "Watakieni baraka wote wanaowadhulumu nyinyi; naam, watakieni baraka na wala msiwalaani."
Maneno ya laana yanajenga mazingira ya kisasi, chuki, na kutotubu. Lakini baraka—hata kwa maadui—hufungua mlango wa neema, uponyaji, na mageuzi ya kweli. Mungu hajihusishi na laana zinazotokana na hasira za kibinadamu.
Laana inayotoka kwa mtu asiyeongozwa na Roho wa Mungu, haipati kibali kwa Mungu, ndio sababu laana nyingi za watu haziwapati wanaolaaniwa.
Kama kuna nchi inayolaaniwa sana ni Israeli. Lakini badala ya kulaanika, tunaona ikiendelea kustawi. Na wanaoilaani wenyewe ndio wanapatwa na mabaya!
Laana zipo ndugu yangu Retired .ni kwa sababu laana donot exist, it is just kutishana
Labda tatizo lako ni kutokujua maana ya laana ....siku moja nilishuhudia mmama akichwapwa makofi na mtoto wake ...kisha yule mmama alikuwa ana lalamika kuwa huyo mtoto kamlaani lakini wapi!!!....hapo nikajua huyo mmama ni mpumbavu .Mara nyingi, tumekuwa tukisikia taasisi za kijamii, wanaharakati, wananchi nk wakiilaani nchi fulani au viongozi wa kisiasa kwa madai kwamba wamekosea au kutenda jambo linalowaletea maumivu.
Wakati mwingine watu wenye dini nao husikika wakitamka maneno ya laana dhidi ya wale wanaoona wamekosea. Na wengine huwaombea wakosaji wapatwe na mabaya kama kifo, magonjwa au ajali. Kwanini mara nyingi, laana hizo hazitimii au haziwapati wanaolaaniwa?
Sababu kubwa ni kwamba Mungu hapendi tuwalaani wenzetu. Maandiko yanasema hivi katika Warumi 12:14
"Wabarikini wale wanaowaudhi, barikini wala msilaani..” Tafsiri nyingine ya andiko hilo inasema: "Watakieni baraka wote wanaowadhulumu nyinyi; naam, watakieni baraka na wala msiwalaani."
Maneno ya laana yanajenga mazingira ya kisasi, chuki, na kutotubu. Lakini baraka—hata kwa maadui—hufungua mlango wa neema, uponyaji, na mageuzi ya kweli. Mungu hajihusishi na laana zinazotokana na hasira za kibinadamu.
Laana inayotoka kwa mtu asiyeongozwa na Roho wa Mungu, haipati kibali kwa Mungu, ndio sababu laana nyingi za watu haziwapati wanaolaaniwa.
Kama kuna nchi inayolaaniwa sana ni Israeli. Lakini badala ya kulaanika, tunaona ikiendelea kustawi. Na wanaoilaani wenyewe ndio wanapatwa na mabaya!
Laana isiyo na sababu(yaani isiyokubalika mbele za Mungu) haiwezi kumpata mtu. Ila huyo mtoto kumpiga mama yake sio mapenzi ya Mungu. Laana inaweza kumpata. Na sio lazima matokeo ya laana yaonekane saa hiyohiyo.Labda tatizo lako ni kutokujua maana ya laana ....siku moja nilishuhudia mmama akichwapwa makofi na mtoto wake ...kisha yule mmama alikuwa ana lalamika kuwa huyo mtoto kamlaani lakini wapi!!!....hapo nikajua huyo mmama ni mpumbavu .
Kwa sababu hizo laana haziwapatiInasikitisha nini?
Wewe umesema una cheo cha kukusanya sadaka kanisani. Inakuwaje unatamani watu walaaniwe? Au unakusanya sadaka kwa manabii wa mchongo?Kwa sababu hizo laana haziwapati
Kitu kilicho laaniwa maana yake kime fungiwa kutenda mema ...hivyo mtu muovu akilaaniwa maana yake atazidi kuwa muovu na kutenda ushenzi zaidi ndiyo maana ya laana..mfano ni kama samia bushiriLaana isiyo na sababu(yaani isiyokubalika mbele za Mungu) haiwezi kumpata mtu. Ila huyo mtoto kumpiga mama yake sio mapenzi ya Mungu. Laana inaweza kumpata. Na sio lazima matokeo ya laana yaonekane saa hiyohiyo.
C ht Mungu nae alishawahi kutoa laana, hvy Siwez kumpinga sir GodWewe umesema una cheo cha kukusanya sadaka kanisani. Inakuwaje unatamani watu walaaniwe? Au unakusanya sadaka kwa manabii wa mchongo?
Manabii wa "Mchongo" - Njia rahisi ya kuwatambua na kujiepusha nao
Nyakati hizi kuna watu wengi wanaoitwa manabii. Nabii ni mtu anayepokea ufunuo au maono kutoka kwa Mungu na kuyatangaza kwa watu. Kwa maneno mengine Nabii ni mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu. Je, kila anayejiita Nabii ni nabii wa kweli? Biblia inatufundisha kwamba siku za mwisho, manabii wengi...www.jamiiforums.com