Kwanini wanasheria wanavaa suti ?

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Habari za mihangaiko wakuu.

Nina swali hapa ni kwanini wanasheria wanapokuwa mahakamani wavae suti, ni kisheria inatakiwa hivo ........... au mapendekezo ya mtu mwenyewe ????

naombeni majibu.
 
Heshima tuloachiwa na mwingeleza,suti ni vazi la heshima.labda la kuuliza ni kwa nini wanavaa suti NYEUSI
 
Kwanini bafuni watu wanavaa mataulo au kanga!?!?
 
Habari za mihangaiko wakuu.

Nina swali hapa ni kwanini wanasheria wanapokuwa mahakamani wavae suti, ni kisheria inatakiwa hivo ........... au mapendekezo ya mtu mwenyewe ????

naombeni majibu.
Sio suti tu, ni suti nyeusi. Hiyo ni professional attire kama tu daktari avaavyo koti jeupe.
 
...nafikiri Kuna maswali mengi ya kuhoji kuhusu uvaaji wa sare fulani mfano, jwtz, police, waganga, nurses, wanafunzi, e.t.c hapa unafanya simple reasoning Tu, wakati wewe ukiwa shule ya msingi hukuvaa nguo zako za nyumbani Bali ulivaa aina flani ya nguo, je unaweza kueleza sababu za wewe kuvaa hizo nguo?
 
Ukishajua kwann wewe unavaa viatu basi utajua kwann wanavaa suti nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…