Kwanini wanasiasa wa Upinzani Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM?

Kwanini wanasiasa wa Upinzani Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kwanini wanasiasa wa Upinzani wa Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM- KUNANI?

Wakati nipo chuo kikuu, Prof Wangu alituambia siku moja darasani kwamba- "ukitaka uishinde njaa usimuhadithie mwezio kama unanjaa kwani anaweza kukuhadithia yeye kala vyakula vizuri ambapo wewe utashindwa kuiviapa" Narudi katika mada.

Kwanini Wanasiasa wa Upinzani wa Zanzibar licha ya CCM kuwa na nguvu lakini wanasiasa wake hama hama inakuwa ngumu?

1. Jussa
2. Mansour
3. Juma Duni

mlolongo mrefu ambapo endapo wataamua kuhamia ccm watapokelewa kwa Gwaride kubwa hata CNN watakuwa live. Lakin hadi leo bado na msimamo.

Wakati kuunga Mkono juhudi za Mzee, Zanzibar alienga mkono ni mmoja mbunge kutoka Pemba, lkani Tanzania mamia ya wapinzani walihama.

Hivi sasa tunaona msigwa na yeye huyo. Kwa upande wa Zanzibar licha ya CUF kuuliwa na Lipumba - Wanasiasa wa Zanzibar wamebadil jahazi.

Wachambuzi wasomi wanasema hata Uhuru kama hawakushiriki watu wa Pwani ungalikuwa mgumu kwa Tanganyika kujikomboa kutokana na siasa wanazofanya za -ASALI NI TAMU.
 
First things first, huyo Profesa wako ni wa Muslim University Morogorogo ama vipi?
 
Leo kwa mara ya kwanza wewe mwanajihadi umeandika kitu cha maana kiasi fulani!
 
20240701_005919.jpg
 
Back
Top Bottom