Kwanini wanasimba wamekuwa mstari wa mbele kumpiga Vita Zahera?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
 
Zahera kaisaidia sana Yanga msimu uliopita,na bila yeye timu ingekuwa na hali mbaya,roho inawauma mbumbumbu kwanini anajitolea kiasi kile.

Zahera japo anamapungufu yake,ila kwangu Mimi atabaki kuwa kocha bora wa muda wote kwa makocha wa kigeni waliowahi kuja yanga
 
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Akili za Mikia FC aka Mbumbumbu SC.
 
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Tumeuliza uwezo wake tu wala hatujampiga vita yoyote ile , makocha wabovu wa kigeni
wanapokuja kufundisha nchini mwetu wanadumaza soka letu
 
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Hata sisi wanayanga tunashabikia sana habari za Manara kuachishwa kitengo
 
sisi simba hatuna shida ya kocha ikiwa tanga watamfukuza tumchukue, wanaopingana ni wenyewe ndio maana umemsikia Zahera akisema ziara ya kwenda mikoa ya kasikazini haikuwa na faida na huku yanga wakiwa hawaridhishwi na kiwango kinachoonyweshwa na timu yao
 
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
yeye inabidi awajibu uwanjani tu, case itakuwa closed. vinginevyo ataendelea kupondwa tu!
 
Mbinu chafu za WanaYanga dhidi ya Hajj Manarra tunazifahamu.
 
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
HOFU Mkuu.

Wanapiga picha kama huyu jamaa kusingekuwa na njaa angetufanya nini? Can you imagine pamoja na hela za mhindi kumnunua refa wa KMC bado walikuwa wanalowa underwear kwa hofu 😃😃😃
 
Back
Top Bottom