Akibisha niite.Hata Yanga fans ndio wanaomsapoti Kilomoni
Ndio maana mkaitwa mbumbumbuYanga hawana abavu wa kumfukuza Zahera kwani ndie mdhamini, msemaji na kocha wa Yanga.
Akili za Mikia FC aka Mbumbumbu SC.Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Breaking news; Yanga yavunja rekodi ya usajili kwa kumchukua Manara!Yanga hawana abavu wa kumfukuza Zahera kwani ndie mdhamini, msemaji na kocha wa Yanga.
Kwisha mjadala!Hata Yanga fans ndio wanaomsapoti Kilomoni
Tumeuliza uwezo wake tu wala hatujampiga vita yoyote ile , makocha wabovu wa kigeniNi Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Hata sisi wanayanga tunashabikia sana habari za Manara kuachishwa kitengoNi Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
yeye inabidi awajibu uwanjani tu, case itakuwa closed. vinginevyo ataendelea kupondwa tu!Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
HOFU Mkuu.Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi
unatoka wapi?? Wakati tumezoea kuwaona wakiwa na Furaha yanga inapofanya vibaya.
Anacheza namba ngapi?Mbinu chafu za WanaYanga dhidi ya Hajj Manarra tunazifahamu.
12Anacheza namba ngapi?