Kwanini wanaume ambao hawana makalio wanakua na mzigo wa maana?

Msijidanganye...kuna mshkaj mmoja mademu wanamuita mguu wa mtoto ki kafupi kanene kapisi ka mtu ila Mzigo wake sio wa nchi hii kwa waliotafunwa wanasimulia
Alishakupitia nini Mkuu mana hapo unatuambia kwa experince yako sio
 
Aisee! Mi flat screen hapana. Zigo la kuvunja chaga ndio mzuka.
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] mkuu tafsida kidogo tafadhali...unaandika maneno magumu sana.
 
Mhmmhmhmhmhmhmhmh
Wacha nifunge domo langu miyeeee
 
utafiti umeufanya kwa wanaume wangapi!!!? humu ndani kunajadiliwa ujinga sana siku hizi..
 
Hili suala la mzigo mkubwa au mdogo kwa wanaume ni maumbile tu siyo kila mwanaume flat nyuma ana mzigo wa mashine na si kila mwenye makalio ana mzigo mdogo. Kuna vijamaa vifupi vina mashine balaa na kuna wanaume warefu wana maumbile ya kawaida tu ya mzigo. The same to women. KWA HIYO HII NI ISSUE YA MAUMBILE KADRI ULIVYOJAALIWA NA MUUMBAJI!
 
Msijidanganye...kuna mshkaj mmoja mademu wanamuita mguu wa mtoto ki kafupi kanene kapisi ka mtu ila Mzigo wake sio wa nchi hii kwa waliotafunwa wanasimulia

Mh!!hiyo avatar kiboko
 
Unachokitafuta utakipata... sasa maumbile ya kiume yote unayajua.... kilichobaki ni kuukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…