We are naturally endowed with all the necessary capacities!
1. KITCHEN PART HAKUNA.
2. HAKUNA ANAYE JALI MAFUNDISHO KABLA YA NDOA KAMA ULIPEWA UNA BAHATI LAKINI MAJORITY YA WANAUME WANAINGIA KAVUKAVU.
3. TUNAJIFUNZA KAMA KUKU WA KIENYEJI ANAVYO TAFUTA CHAKULA CHAKE MWENYE, CHUMA, PUNJE YA MAHINDI, ETC ANAKULA TUU.
JE HILI HALINA ATHARI KWA WANAUME , NA JE HII SIYO SABABU YA WANAUME WENGI KUCHINDWA KUMUDU NDOA ZAO.???
Nitaanzisha ofisi ya kuwafunda wanaume. Msihofu.
Nature without knowledge is nothing my bro......, tunahitaji kuelimishwa , kujifunza na kupata ufahamu zaidi juu ya maswala ya mahusiano,mapenzi na ndoa kwa ujumla,
hiyo notion yako ni mbovu na naomba uifute for your wellbeing
umenichekesha saaana Mkuu yaani ha ha haaa,,
Ni hoja nzuuri sana ambayo ama kwa hakika tunapaswa kutupia macho mawili nasi 'tufundwe', u never knw huenda ndoa nyingi huvurugwa kwa kutokufundwa sisi midume
Nina mashaka hapo.
usiwe na mashaka pm.
Nataka ndoa zenu zidumu. Nitatoa hiyo elimu bure kabisa.
Wababa wengi mmekuwa goigoi kila idara na ndio maana wake zenu wanatafuta dogodogo nje.
Wababa mpoooo?
Hehe shosti umeniwahi tuingie partnership hahahaaaa lolNitaanzisha ofisi ya kuwafunda wanaume. Msihofu.
Hehe shosti umeniwahi tuingie partnership hahahaaaa lol
Mashaka bado yapo,yawezekana kweli mbuzi akawafundisha fisi kuhusu mambo yao?
halafu inabidi nianze na wewe maana umekuwa mbishi.
Inawezekana.
Assume huyo mbuzi ni fisi na fisi ndio mbuzi.
:nono::nono::nono:Itakubidi uombe ruhusa kwa mwenye mali.........
:nono::nono::nono:
itakuwa poa kama ukiniruhusu na mimi nikaongeze kwa babuHahahahaaaaaaa,niruhusu tu nikaongeze ujuzi mama.........