maadamu akuna amfundishaye mtt mchanga kunyonya. Au mtt wa bata kuogelea bac hatuitaji mafunzo unapotafuta digrii unasoma miaka 3 ukimaliza unapewa cheti lakini ndoa unapewa cheti kabla ndio unaingia ndani yan atakama mwanamke umemfamu wiki moja mtapewa cheti