Kwanini wanaume hawapendi ivi?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Natumaini muwazima wa afya njema,


Ni katika suala ambalo mwanamume analichukia kupita maelezo.

Mwanamume ukimgusa ama kumshika sehemu ya makalio hakika hamtoelewana kabisa.


Hata kama ni wanandoa, mke akitaka kukugusa nyuma mtagombana aisee.

Lakini mwanamke yeye akishikwa wala hamna tatizo lolote lile, anajiskia faraja tu.

Mimi mwenyewe binafsi sipendi kabisa, hata mke hawezi nigusa.

Sasa hili tatizo chanzo chake ninini , na nikwanini imetokea tunachukia kuguswa hiyo sehemu.
 
Hili swali wajibu waliowahi kuguswa na kushikwa...
 
ulivyoandika unaonyesha cku 1 utaguswa matakao
 
Me mke wangu ruksa Kushika sehemu yoyote ya.mwili yangu na ni haki yake kama mimi nilivo na haki ya kutouch mwili wake sehemu yoyote
 
Nasikia wengine huwa wanachomekwa hadi kidole na wanawake.Wanaita suna wakati wa kufanya mapenzi.Huu si mwanzo wa ushwaini huu
Kama ndo ivo itakuwa laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…