Nakushauri kupitia kisa hiki.
Mwezi wa kwanza mwaka Huu nikiwa kazin, alikuja Mwanadada mrefu mweupe amejaa vizur .
Ni aliyekua kajawa mawazo ,wasiwasi, ni MTU alojaribu kuficha anachopitia lkn Sura, macho na sauti yake vilidhihirisha wazi kua anapitia jambo gumu.
Ipo hivi Kwa miaka minne ya Ndoa yake, hakuwah kupata mimba,, mwaka Jana Mumewe akaanzisha Uhusiano wa kingono na Bishosti wa Mwanadada huyu, bila kujali ni mashosti wanaofanya kazi taasisi Moja .
Mwanadada huyu akaamua nayeye kuacha kugongana na Mumewe
Kule kazin , Shosti anampiga vijembee, Mara Γ³hooo wee Mayai yako umelia chips, Mara ohoo umetoa mimba Sanaa, so acha wenye Mayai tumzalie bwanaaa.
Akirudi nyumban , Bwana anataka K, Bidada anagoma, Bwana anatoa kipigo .
Maisha yake yakawa hivo...
Lkn kwann alimnyima mzigo? Alimnyima Kwa sababu BWANA HAKUA TAYARI KUPIMA .
Na Mwanadada hakutaka kugongana naye kwakua Mumewe anatoka na Shosti yake na hajui hali ya Afya ya Shosti yake.
Kwa ufupi alikua anaomba ushauri nini afanye .. NAMIMI NILIMWAMBIA HATAKI KUPIMA, USIMPE MZIGO.
Basi mwezi wa Saba hapo majuzi, Mumewe akakubali kupima .
Mwanadada alikua anajiamin kwakua keshaoima Mara Kadhaa.
Asalaleeeee, kupimaaa , Bwana akasoma ana ngoma...Mwanadada Hana.
Bwana haamini, wakaenda hospital nyingine , kupima BWANA ANA NGOMA, Mwanadada Hana.
Wakarudi Home, wakaachana siku hiyo hiyo .... Kumbe yule Shosti wa Mwanadada, alikua na ngoma, hivo kamuambukiza Mume wa Mwanadada
Imepita miezi Kadhaa, Jana Mwanadada ananitafutaa Tena na kunipa tukio zima.
Sasa Mwanadada anafunguka kwangu zaidi, ananiambia Toka alipokataa kugongana na Mumewe mpaka wanaachana ni muda mrefu nayeye hajasex , na Kwa Sasa yuko free, anauliza nimsaidieje??.
UKIONA MWANAUME AU MWANAMKE HAPENDI KONDOM NA HAPOHAPO HATAKI KUPIMA, SIJUI OHOOO KONDOM ZINANICHUBUA, KONDOMU ZINANIWASHA , ZINAOUNGUZA UTAMU, KAMA UMEKULA HELA YAKE, MRUDISHIE, KATAAA, HUYO ANATAKA KUKUUNGANISHA KWENYE GRIDI.
STUKA.