Ha ha ha kumbe ndo zenu aisee
Fidel yule binti wa TIP TOP alivyokukaa akisema " We need to talk" wewe mwenyewe hakuna hata kubishaMi sinaga mazungumzo zaidi ya sweet, honey,
Lakini ukikosea hakuna cha mazungumzo mezani nikibano mtindo mmoja.
Ha ha ha ha kibano na kubadilisha kibao sio???
Fidel namjua kuna sehemu hiyo kafika yaani hapindui binti akisema Fidel anatekeleza fastaHa ha ha ha kibano na kubadilisha kibao sio???
Fidel yule binti wa TIP TOP alivyokukaa akisema " We need to talk" wewe mwenyewe hakuna hata kubisha
Usithubutu kukaa meza moja na mpenzi wako kwa mazungumzo.
Take it from me.
Utapoteza mchumba.
Ahaaa ahaa mkuu nimeipenda hiiiTatizo hapa, kama lipo, linabaki kuwa katika our inherent differences kati ya ME/KE.....
manake mwanamke akikwambia 'we need to talk'....ujue hapa kuna ugomvi tu, kuna kiti moto flani hivi unawekwa, nikimaanisha ile double meaning inayokuwa mwenye kila mnachosema, mfano wengine wakisema NO wanamaanishge Yes and vice versa....nakumbuka kulikuwa na sredi hapa juu ya hili
HATA MIMI BIBI NA BABU YANGU WANAITANA BABA NA MAMA, LAKIN NILIVYOWAULIZA WAKAJIBU HIVI.
BIBI: NAMWITA BABA MUME WANGU KSB SINA WAZAZI WANGU NA HUYU NDIYE ANAYENILEA NA KUNITUNZA KWA HIYO NAMWITA HIVYO KUMPA HESHIMA YAKE, HATA BABU NAYE ALIJIBU HIVYO hivyo.
NA WAKASEMA ENZI ZA UJANA WAO HAWAKUWAHI KUITANA HIVYO ILA WAMEANZA KUITANA UZEENI TU.
LAKIN MIMI ETI MNA MIAKA 20- 50 MNAANZA KUITANA MAMA NA BABA WAPENZI ??? mmmh!! kwangu hainiingii kabisa.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"
Sijui kwa nn wanafanya hivi halafu usishangae kosa kafanya yeye atajitetea na kuligeuza uonekane wewe msichana ndo mkosaji
Ndo maana hutakiwi kufanya hivyo...kama umeamua kweli mpe bila kumtisha!