Kwanini wanaume hupenda kutembea na Mbwa, wanawake na paka?

Kwanini wanaume hupenda kutembea na Mbwa, wanawake na paka?

onetime

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
331
Reaction score
234
Mara nyingi katika jamii mbali mbali ambazo hupenda wanyama na kuwafanya rafiki zao na kufanya wengine hata kutembea nao njiani. Ni kwa nini wanaume karibu mara zote hutembea zaidi na mba kuliko paka? Huku wanawake hupenda paka lakini hawa hupendelea hata mbwa kwa baadhi.

Nawasilisha.
 
Paka hupenda kumfuata mama kwa sababu ndo mpishi kikon na paka hushinda humo mbwa humfuata mwanaume kwa sababu ndo mleaji na mwindaji
 
Enhuuuuh!!! Nimekuja kasi ili nishangae...kumbe ulimaanisha hivyoee!!? Basi ngoja nipoe kwanza na nitafute jibu.....
 
Back
Top Bottom