Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?


...pumzi muhimu ili kumudu dakika 45 ' 45 za mchezo. Kama stamina ndogo yanini kujitia 'besti maridadi' kupiga chenga uwanja mzima wakati mipira ya kona rukhsa? Halafu penye udhia, penati zinatosha...wala hujisumbui kujivuta saaana!
 
Another Magulumangu in Tafsida:

Ok, unarudi nyuma kama unataka kupiga penati, unatikisa miguu kidogo, alafu................, golikipa akijifanya kupangua unavamia mashambulizi golini, hakuna kubanduka mpaka upige goli.
 
Utamu unazdi pale mabeki wa timu pinzani wanapoonesha umahiri na jitihada za kuzuia bao kwa kukata chenga kwa nyonga zao kumbe wajisahau kuwa chenga nying golini hasa zile za mabeki kucheza kuchezea mpira kifua ndo hatari mno kwa wanaume hawachelewi kupachka bao kwa mzuka na ghadhabu ya kuchezewa mpira kifuani!
 
nafikiri inategemea na formation gani wanatumia, baadhi ya timu huwa zinawashambuliaji timu nzima bila mabeki wala wachezaji wa kiumgo, timu kama iyo shukuru kama ina angalau golikipa manake wengine hata huyo hawaweki. in such a situation utakuta timu inataka kufunga tu magoli kwa idadi kubwa kubwa. hauna chenga wala nini hukon ni mashuti tu tena kama ya etoo, sasa kama nyavu za wapinzani zao zimechakaa, nbasi hesabu matobo tu hapo mpenzi
 
Nipigie utapigiwa vipi kama huweki namba yako ? wako wanaotumia Zantel wanatwanga tu tena 'kote kote' na wanatumia uwanja mzima.

Kwani hii majina ya mitandao inawakilisha aina ya match?
Air=upepo Tel...
T.i.*.o
 
wewe tu huonyeshi ushirikiano, si umwambie dume lako achezee kila sehemu ya uwanja unayotaka, kama kona, center, ndani ya kumi na nane, penalt box nakadhliiiiiiiiiiiiiiiiiiika

fidodido
 
Aisha eeeh abeee raha ya mechi baoooo!cjui muimbaji huyu anaitwa nani!!!!!!!!
 
Mshambuliaji mzuri hufunga magoli mengi, Good positioning of the stricker ni karibu na goli ili aweze kufunga magoli mengi.
 
Mshambuliwa husifiwa kwa kufunga goli kwa hiyo lazima ajiposition vizuri ili afikie malengo
 
mi ni mtaalam wa G-spot ,huwa ndio na dili nayo muda wote,mara nyingi timu pinzani huanza kufunga kabla sijaanza kurudisha magoli au wakati mwingine inajifunga yenyewe...
 
Michelle upo hapo kazi ipo kweli watu hawataki kuremba ni mwendo wa magoli tu
 
mi ni mtaalam wa G-spot ,huwa ndio na dili nayo muda wote,mara nyingi timu pinzani huanza kufunga kabla sijaanza kurudisha magoli au wakati mwingine inajifunga yenyewe...

yah man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…