Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

Mie nacheza kote, hadi natoika nje, sijawahi cheza nusu uwanja hata iweje, lazima kote kote, no matter uwanja ukoje nakamua tu kote kote
 
Ushindi ni magoli, siyo vyenga. Ukicheza mbali na goli magoli utafungaje?
 
halafu uankuna kuna wakati kipa katoka TgOli lipo WAZI tena KARIBU na mtu hafungi TgOli, au kipa kamwachia afunge, mtu anajizungusha
ww, au anagonga ukuta wa NYUMA ya TgOli hafungi, hadi kipa anachukia ila hamwabia, kipa mwishowe ataondoka wala hafurahi, kuna wengine wancheza nyuma ya TgOli muda wote hawana shida ya
kufunga wanafanya mazoezi tu, baadae ndio atafunga
 
Pyepye!!!,mwisho wa mechi, matokeo bila bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…