Kwanini wanaume wa dar wanapenda sana kuvaa nguo za kubana kama za dada zao

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Iv kwanini wanaume wa dar huwa wanapenda kuvaa nguo za kubana mapaja kama za dada zao wana tatizo gan

Kwanini wanapenda sana kuongea maneno ya kike kike kwa mfano neno JAMAN wao husema JOMONIII wana tatizo gan

Nawasilisha

LONDON BOY
 
jomoni ndio nini buana kutusema
 
Rural/ urban migration presents challenging conflicts in society due to gaps in technology, recreational activities and cultural liberties.

Discuss.
 
sio wa dar tu utakuwa mgeni hapa dunaini


Wiz khalifa nae wa dar?
 
Ungemuuliza huyo dogo kwenye Avatar yako....!

Anajiita Young Daresalaam, huwa anavaa mpaka Skert...[emoji23][emoji23][emoji23]
 


Wanaume wa Dar ni tata siku zote, wengi wao ni wake za watu mitaani na ukiwaona huwezi amini kuwa ni mashoga maana wana six packs na wanajifanya wajanja kwa kila kitu. Wametafsiri vibaya lile neno la Pride.
 
Waache bhanaa wamalize mwaka vizuri mtawafanyaa wazame tena madukani kuchukua viwalo vingine visivyobana
 
Na kwa nn wanaume wa mikoani wanapenda kuvaa masuruali makubwa kama MFUKO wa MASHINE YA KUSAGA NAFAKA? wao hawanaga fashion ya suruali ZAIDI ya hiyo na wanakaza MKANDA kiuno kinakuwa kidogo kama cha NGEDERE,, SIJUWI kwann
 
Na kwa nn wanaume wa mikoani wanapenda kuvaa masuruali makubwa kama MFUKO wa MASHINE YA KUSAGA NAFAKA? wao hawanaga fashion ya suruali ZAIDI ya hiyo na wanakaza MKANDA kiuno kinakuwa kidogo kama cha NGEDERE,, SIJUWI kwann

Hizo nguo za kubana arusha tulikuwa ndo tunavaa sasa enzi hizo mmekuja kuvamia nyie mmepitiliza mnavaa nguo za dada zenu kabisa tumewaachia mgaregare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…