Kwanini wanaume wa Kenya ni wabahili?

Huyo jamaa, nakuhakikishia hajawai kanyaga nje ya mkoa alikozaliwa acha Kenya! Watu kama hawa ni ngumu sana kuwaelewa. Sijui nikupuliza sana moshi wa kuni, hadi unawaingia kwenye medula?
Kwanza mimi naijua Kenya kuliko wewe. Hakuna nchi hapa EA sijawahi kanyaga. I know you Kenyans very well
 
Katika Kiswahili fasaha na sanifu kabisa hakuna neno ' Wabahiri ' bali kuna neno ' Wabahili '.
 
Focus yapo ipo kwenye productive things zaidi ndio maana wanamaendeleo zaidi ya wabongo, sex kwao ni subsidiary.
Bongo tunajua umbea na michepuko kwa sana.
 
]jumapili nivigumu kuwakuta bar

Hapo kwa Jumapili nakubaliana nawe but I guess it's about cultural differences. WaTz wanapenda kujisocialize Jpili mchana after kutoka church, Kenyans wanapenda kujirusha Ijumaa usiku na Jumamosi usiku. Nimeishi Dar, nishalala Moshi na Arusha pia but ni vigumu sana kupata waTz wakikesha kwenye bar

Another factor is prices of alcohol. Pilsner in Tz ni about Ksh. 75 (Tsh. 1500), serengeti ni Ksh. 100(Tsh. 2000). In Kenya Pilsner ni Ksh. 170 (Tsh. 3400)
 
Kwanza kenya hakuna madem wazuri ndo mana wanaume hawatumii pesa
 
Kwanza kenya hakuna madem wazuri ndo mana wanaume hawatumii pesa

Kenya wanawake wako very hardworking and successful. Ukitaka kunua pombe ndio ukalale naye, utanunua mwaka mzima. Tanzania on the other hand, wanawake wako very cheap. Unanunua bia leo, kesho unalala naye.

On the issue of beauty, inategemea na mtu. Wapo wanaoheshimu mwanamke ako independent, wengine wanaheshimu brains, makalio, umbo, urefu, sura, etc.
 
Nafikiri tunakosea sana kuongea kwa ujumla 'generalization' nimeshakamatia dem mitaa ya equity Ngara na downtown CBD mida ya mchana tunapatana tuonane sehemu jioni for supper, baada ya misosi mimi na Tusker yangu dem anaagiza Smirnoff ice baada ya hapo sio Suzy, Wanjiku au Ann wote ni mwendo wa kuremove panty..
 
Kuna mkenya alitoka Nairobi kuja Dar kufanya setting ya dish la satellite/vsat kwa ajili ya internet/data.Tulikuwa tukitumia connection yao.Alidai kulipwa cash.Kulipwa pesa kumbe yule jamaa alivaa kaptula ndani yenye mifuko .Alisunda hela humo ndani yaani watu ofisi nzima walicheka!
 
naunga mkono hoja,kuna mmoja alikua anahesabu hadi mboga za majani,loh
 
Hamna nchi ambayo wanawake wanapenda wageni kama Kenya mwanamke wa kikenya akijua wewe ni foreigner basi unamlala kirahisi saaana wanawake wa huko wana dharau sana wanaume wao ila kwa wageni wanawashobokea sana wengi ukiwapa mtoko siku hiohio ushalamba ndo maana wa Nigeria wanawatesa sana madem wakikenya siku hizi
 
Mkuu, hiyo Ksh 250,000 unajua ni almost Tsh 5,000,000? Yaani uhonge mwanamke kwa mlo 1? Mimi ni Mtanzania lakini katika hili nadhani tupo ulimwengu tofauti na wewe aise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…