Kwanini Wanaume wa kichaga hawakai na wake zao?

Kwanini Wanaume wa kichaga hawakai na wake zao?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Rafiki zangu wengi ninao piga nao kazi uwa wanaishi zaidi na watoto wao mwanamke anakuwa moshi.
Ni mwaka na nusu rafiki yangu Moshi simjui mke wake.

Kwann hii wandugu?
 
Kuna ukweli hapo
Sijui tatizo ni nin kwa hawa jamaa zetu
 
Ni huyo jamaa yako

Mimi naowajua wote wanaishi na wake zao

Wamasai ndio wanawaacha wake zao huko umasaini
 
Rafiki zangu wengi ninao piga nao kazi uwa wanaishi zaidi na watoto wao mwanamke anakuwa moshi.
Ni mwaka na nusu rafiki yangu Moshi simjui mke wake.

Kwann hii wandugu?
Zamani walikua wana waacha yakatokea matatizo yafuatayo:

1.Baba na ndugu zao wa vijijini walizaa na wale wake waliowaacha
2.Walikua wanapata watoto wa mijini
3.Wengi walipata ukimwi mijini na kufa mapema
4.etc

Hiyo ni period ya 1980's-2000's ambapo kulikua na mass migration kutoka vijijini kuja mijini.

Kilichofanyika kuanzia 2000's mpaka sasa ni kua wanakaa na wake zao kabisa hawawachi tena.

Unless kama wamekuja town for a short period of time ndio huja wenyewe.

Au kuna wale wa kila mwezi lazima warudi Moshi then hao huacha wake..

Hili tatizo lilikuwepo sana zamani...ila kwasasa hivi sio sana.
 
Rafiki zangu wengi ninao piga nao kazi uwa wanaishi zaidi na watoto wao mwanamke anakuwa moshi.
Ni mwaka na nusu rafiki yangu Moshi simjui mke wake.

Kwann hii wandugu?
Ni utaratibu wa kwao naupenda na ni mzuri sana ila kwa wanawake wetu wa kariakoo kamwe huwezi
 
Utaishije na mwanamke kila siku anakuambia jenga nyumba nzuri,fungua biashara utamwachia nini mtoto! Hapo mna miaka 35-40. Anakuuliza hayo maswali. Akili kumkichwa.
Hahaha
 
Kukaa ma mkeo mbali hili wazo huwa si zuri hata kidogo!! Wanawake walivyoumbwa ni wepesi kushawishika hata kama mmezaa naye watoto...nature yao ndiyo hiyo akishamzoea jamaa basi na mengineyo yanafuatia... wewe unabakia mbali ukila kwa bluetooth!!

Kaa na mkeo beneti...hata wachaga hatimaye wameshtuka baada ya kutunza watoto si wa kwao.
 
Mleta mada nipo sambamba na wewe ni kweli kabisa hawa jamaa huwa wanaacha wake zao huko mbwinde alafu niliwai sikia kuwa wakiwa huko wanakuwa chakula cha baba mkwe but nina ushaidi binafsi kuna rafiki wa mke wangu yalishawai mtokea aya
 
Rafiki zangu wengi ninao piga nao kazi uwa wanaishi zaidi na watoto wao mwanamke anakuwa moshi.
Ni mwaka na nusu rafiki yangu Moshi simjui mke wake.

Kwann hii wandugu?
Akili zao ziko kwenye maendeleo na hela zaidi.
 
Back
Top Bottom