Kwanini wanaume wacheshi huvutia sana jinsia ya kike?

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
194
Reaction score
39
Yani hii imekuwa moja kati ya silaha za maangamizi zetu sisi wanume kupata wanawake tuwapendao kwa haraka,if you don't have any sense of humor in your wallet,you better have a sense of cash in it!:A S 100:
 
Ni kweli... Wanapenda kurembwa na kupambwa.. Hiyo ni hulka hata Kama wanadanganywa. Kuna chuo kule DRC mkuu ukienda miezi mi tatu ukirudi hapo bongo hawapindui
hata wallet huhitaji tena watatoa wao
 
Ndugu yangu we ungechagua demu anayenuna muda wote au mcheshi?i think kwa dada zetu its the same option kama sijakosea
 
Ucheshi ni tabia nzuri ingekuwa mbaya wasingetuvutia.
 
...usishanggae haya ndo yalimpa urais jk akishinda kwa kishindo kipindi kileeeeeeeee
 
i guec ni kwa sababu wanawake wanapenda m2 ambaye anayemjali.
 
mtu ambaye ni mcheshi na mwenye ni rahisi sana kufanya naye uhusiano
 
mmmmhhhh
Jamani wewe mbona una silaha kali hivyo..
your 110% right .. Hata ukiwa na sura kama
Idi Amini...... lakini ukiwa na good
sense of humor mmhhh
ntalipa dinne
r...
 
Hata ukiwa na sura kama
Idi Amini...... lakini ukiwa na good [/I]sense of humor mmhhh
ntalipa dinne
r...

Oh really? Okay then, I'll take you up on your offer....just let me know when and where and I'll be there.
 
Oh really? Okay then, I'll take you up on your offer....just let me know when and where and I'll be there.

Do u have good sense of humor???
coz I'm not giving you dinner for free
You have to make me laugh 1st
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…