Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
upo wewe?Girls warembo ni rahisi sana kuwateka unapofanya nao jokes,kuwa mcheshi,but inategemeana na aina ya girl unayefanya naye ucheshi mana kwa mwingine inaweza ikawa kero.
upo wewe?
Ni kweli kabisa wanaume wacheshi hutuvutia sababu wanawake wengi hawapendi midomo zege, mtu yuko serious kama nini vile hana hata muda wa ku socializeYani hii imekuwa moja kati ya silaha za maangamizi zetu sisi wanume kupata wanawake tuwapendao kwa haraka,if you don't have any sense of humor in your wallet,you better have a sense of cash in it!:A S 100: