Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

Njoo kwangu ntakuunganishia hadi bao nane ivi.
 
Jamani mume wngu naomba upate somo hapa....
 
@amanda cute inategemea unaenda na wanaume wa aina gani...km ni mpenzi wako mshauri ale vyakula vya kujenga mwili, nyama, samaki,mayai,ugali uwe dona si ule wa kukoboa,karanga nazo zinamafuta na vitamini sn...pia apate na muda wa kupumzika bila kusahau mazoezi, si lazima akimbie, anaweza tembea umbali mrefu kiasi ilimradi mwili uwe vzr, shida haya magari tulioletewa na wenzetu yanaharibu sn vijana, unatoka nyumbani umekaa, unafika ofisini umekaa, unaenda kula ukirudi unakaa, unarudi nyumbani umekaa yaani hakuna kabisa ratiba ya kufanya mazoezi, halafu utegemee huyo mtu afanye wonders kwenye 6x6 never. sahau ataishia kukupatia hela tu ila ulichofuata hakuna kitu, na wanaongea hao utazani anajenga nyumba kwa maneno.
 
Kwanini nikuridhishe wewe wakati pesa nalipa mimi,,,anaetoa pesa ndo anatakiwa aridhishwe
 
Wanawake wa siku hizi hawaeleweki..ukipiga bao kidogo wanalalamika, ukipiga za wastani wanalalamika..ukipiga nyingi wanasema unawakomoa..Hahaha

 
Mi naona mleta mada anaongelea wanaume wa Dar.!
Kama vipi njoo huku kwetu"Koromije" uone watu tunavyopiga "mpomola" mpaka mtu anarudisha hela.
Jmn ww c ndoa changa unataka uoneshe ufundi kila mahali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji44] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani si mniambie niwaletee vumbi LA Congo ona tunavyodharaulika
 
Ovyoooo
 
Win Win!

Hela nikupe nabado utake nikulipe na vingine?

Inategemea pia na ushiriki wako katika kuwezesha hizo 2,3--5.

Cheza nafasi yakoo

Kweli kabisa,,,ukitaka ukojozwe nilipe, sio unanipangia wakati ushachukua 50k yangu,,,, nikitosheka na goal mbili ni uhamuzi wangu,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…