Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamaleko?
Kama kichwa cha thread kinavyouliza; kifua cha mwanaume kina nyonyo mbili ambazo kwangu naona kama ni kiungo redundant.
Kwani nyonyo zina kazi gani ktk chest ya dume?
I 'm curious to know!
Katika hatua za mwanzo za utungaji wa mimba, kunakua hamna jinsia ya kiumbe chenyewe.....ni kama tunafanana tu kila kitu...sasa chuchu zinakua sawa kwa wote......kadiri kichanga kinavyokua ndivyo kinavyotengeneza jinsia na inaenda hadi kwenye balehe.
Zile nyonyo zetu sie wanaume ni kwa ajili ya mwanamke kunyonya na kutupandisha mzuka wakati wa kale kamchezo. Kazi ya Mungu bwana haina makosa.
Nimekupata vizuri mkuu!!
Kwa maana nyingine huyu Mr. Darwin ktk natural selection hakuwa sawa?
haya bhana pamoja na sababu za organic evolution,mungu aliziweka pia kama kiungo kizuri kwenye mapenzi,wewe mtafute mpenz anaejua kunyonya akunyonye vizuri,weee!utaanza kuiona heaven hii hapa utahsi unaelea angani,patamu wee acha