Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?

Dena mwenzio hata mimi hapo pamenistua kidogoJe kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?
Sijapata majibu sijui kaenda wapiDena mwenzio hata mimi hapo pamenistua kidogo
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?
Mmmh!!! Hii tabia ipo MBEYA kwa wenzetu WANYAKI coz of BARIDI wanaamua wafanane na wenzao wa DAR!!!
Utawakuta asilimia kubwa ya vijana esp watoto wa shule na wale wa KITAA krimu imekubali hadi anachukiza!!!
Eti vitoto vya KIKE navyo sio kusema vimepata TOZI kitaa!!!
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?
Swala sio kupata mwanamke.
Pesa walizo nazo zinawawasha wanashindwa wafanyie nini
Utafiti unaendelea
Utafiti unaendelea
Hilo swali jibu zuri utalipata kwa wakongoman ndo wanaotengeneza mikorogo aka sumu.