hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?
Zaidi wakongo ndio wanaongoza kwa tabia hii.
swala sio kupata mwanamke.
Pesa walizo nazo zinawawasha wanashindwa wafanyie nini
aisee nawe upo deep! Unayajua hadi makarolaiti!
Mkuu kimya!!!Heri ya pasaka!Nilibahatika kuhudhuria ibada ya mazishi ya mfanyakazi mwenzetu mmoja.
mchungaji aliyekuwa akiongoza misa alikuwa amejichua sana kiasi kwamba kwenye maungio kati ya shavu na jicho kumebadilika rangi, kumekuwa kwekundu mno kama kapiwa na bomu la tomato sosi
Umesahau blichi,wotagadi...lolzWaasisi wa kujichubua ni wakongoman, kwa kweli wanatia kinyaa hadi wazee wanajikoroga , me hapa ofisi nzima ni kama defao na yondo sister. Kuna mikorogo ya chenyeji (omo, jiki, blue band, na parachichi na binzari au royco), halaf kuna wa (carolite, diprosone,ambi na dawmy)