Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo

Mbona we ulikuja na ukame wa kutongozwa unavyokusumbua?Hiyo ni bora kuliko mtu anaewekwa majaribuni na mfanyakazi wake?
Endeleea kumwomba Mungu unazo ziita Pumba zisikukute maishani mwako
The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:Mbona we ulikuja na ukame wa kutongozwa unavyokusumbua?Hiyo ni bora kuliko mtu anaewekwa majaribuni na mfanyakazi wake?
Hahahahaha shem hapo umeuua mm nilimwambia labda amechuja viwango ndo maana hatongozwi wala kuangaliwa
Hahaha..shem yani huyu bidada anajisema mwenyewe bila kujua au sijui ndo kajipotezea!!Na kwa jinsi anavyowaandama...anamwagia hasira zote mpaka mumridhishe!Hahahahaha shem hapo umeuua mm nilimwambia labda amechuja viwango ndo maana hatongozwi wala kuangaliwa
Kumbe wakati mwingine huwa unamawazo mazuri tu.Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...