Kwanini wanaume waoga kuoa wanawake waliosoma???

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Umeshawahi kujua hili sababu nini??
Yaani ni sumu kwa makabila mengi sana wakisikia unaoa mwanamke
alie na elimu ama ya kukukaribia ama amekuzidi yaani n shida tupu
watakutajia matatizo yao na kuyalinganisha na hao waliosoma wengine
wanasema hawanaheshima wengine wanasema utaletewa mwenza nyumbani
je umewahi kuyakuta haya ndugu uliechukua chombo kilichoenda shule

zamani walikuwa wanadai ukiwa na aliesoma wengi wanashauri ukajenge
kwao na kuacha kujenga kwa mwanaume je hii ni kweli..ingawa ujenzi ni
swala lenu wawilialiitaji baba mkwe wala bibimkwe ila kwa wale wenye uzoefu
si vibaya ukaleta hali halisi ya ukweli aijalishi unalazwa nje ama unapewa unyumba
mara moja kwa wiki najua hili litakuja kuwa muwazi na wale wanaoishi kwenye
furaha ikiambatanishwa na kuheshimiana kusaidiana mnasemaje kwa hili??

Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
nzuri zaidi ukioa aliyesoma. Unajua dharau na heshima ni mtu mwenyewe. Tena wanawake ambap hatujaenda shule tunakuwa na complex nyingi dharau zimejaa mpaka zinamwagika. Chukua mwenye material kichwani best.
 
Mkuu, watu wanaogopa vitu vidogo eti elimu, mwanaume ukitaka kuonewa utaonewa tu na hata aliye na elimu ndogo mi naoa aliye nizidi shule.
 
msomi ndo anahusika zaidi ili mwisho wa siku ka ngumu ngumu tu
 
Ni mtazamo tu, kubwa itakuwa ni superiority complex ya baadhi ya midume kutotaka kuonekana kuwa iko chini ya wamama!
 
wanaume wengi wanapenda wasiosoma ili wawanyanyase, aliyesoma ni wachache sana wanaonyanyasika, coz ukileta fyoko tu anakutimua ndani ya nyumba. few years left nipate na masters yangu then nitafute huyo asiyeogopa kuweka msomi ndani(ukimwaga ugali,namwaga mboga) hapo chacha.
 
Msomi kitu gani bana, usomi wake unaishia nikiingia nyumbani. Hata uoe mke mwenye Phd always atabaki kuwa mke tu.

Labda uwe hujui kum treat as a wife bt kama unajua hilo wala si tatizo.

Awe na degree,masters n.k bt akipanda kitandani anabaki kuwa kindegarten tu.
 
inferiolity complex! waogopa watatekwa na wake zao ktk maamuzi teh! Oa mwanamke wa kuendana nawe, ucpende mwanamke wa juu yako sana wala wa chini sana!
 
wanaowaogopa wanawake wasomi ni wabinafsi, wanapenda kutawala wanawake. nina jamaa yangu kaoa mke akiwa na bachelor; kamuendeleza na hivi sasa ana PhD. Nayatamani sana maisha yao kwani wana raha ajabu, mama akivuta huku baba anavuta kule, mahesabu jioni.
 
duh ishakuwa taabu. Mke wangu namsomesha na anasoma phd. Mie hata diploma sina. Sijui itakuwaje huko mbele. Au nimstopishe
 
Kwa ujumla ni kuwa wanawake waliosoma wana matatizo na ni mzigo kwa mme! Hata hivyo wanawake hawakutakiwa kusoma hata ukiangalia Biblia hata Quran wanawake hawakuepo kwenye list ya watu waliosoma au hata kuwa cheo fulani ktk jamii.
Sema tu mambo ya utandawazi ambayo nayo pia ni chanzo cha matatizo na kuporomoka kwa maadili ktk jamii. Wanawake kazi yao kubwa ni mambo ya jikoni na mambo ya chumbani na si vinginevyo!
 
<br />
<br />

Acha uongo. Vitabu vya dini vinatafsiriwa to justify men deeds.
Wanawake hawapendi wanaume wajinga. It is such a turn off to go out with a mwanaume mjinga.
Wanawake wanapenda to look up to a man not down.
If I have to choose between a smart poor man and a stupid rich man. I would choose a smart poor man.
 

kumbe ndio maana iran awataki kabisa kusikia kiongozi wa kike??
 
kumbe ndio maana iran awataki kabisa kusikia kiongozi wa kike??
<br />
<br />
kwa sababu wanajua wanawake wana akili sana! ndio maana wanaogopa! maana kama akisoma ashike cheo na yeye ndio anazaa ana uwezo wa kuamua kulea watoto mwenyewe na wengine ni vichaa zaidi hata ubini wa watoto watawapa wa kwao na sisi wa baba! thats why lazima watu waogope wanawake kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…