Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
Hii huwanajiuliza kwanini Wanaume wazuri hawajui mapenz au kwakuwa ni wazuri wanajisahau wanatumia uzuri kama ngao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani sio uzuri wasura ,kifua ,eeeeeeee nakuleee Jamani mjitume
Sent using Jamii Forums mobile app
I am a HANDSOME MALE, njoo uone shughuli yangu![emoji3] [emoji3]Hii huwanajiuliza kwanini Wanaume wazuri hawajui mapenz au kwakuwa ni wazuri wanajisahau wanatumia uzuri kama ngao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani sio uzuri wasura ,kifua ,eeeeeeee nakuleee Jamani mjitume
Sent using Jamii Forums mobile app
What if things falls apart?Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.
Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.
Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
[emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] [emoji46] siokuwa nimetembea nao Hapana ila utafit wangu hasa kwa wenzanguWazuri wakoje? Inaonekana hao unaoita wazuri wanakugeuza sana.
Nooo,sio kuwa nimeutumia mwili kufanya majalibio but nimeuliza kwakuwa nasikiaNikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.
Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.
Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
Bado sijatembea nao ila nimesikia [emoji52]Hao wazuri umeshatembea nao wangapi , na hao wabaya umeshatembea nao wangapi mpaka ukafikia level ya kuweza kiwatofautisha wazuri na wabaya?
Ngoja niishie hapa, mana naona ban njenje
At least she tried.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana nimeuliza loool
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ujue unanichekesha hamna hayo mawazo yako tuIngepaswa uelezew hapo juu kwenye uzi wako kuwa umesikia, lakini kwa sasa tayari umeshajiweka kwenye kundi la kuwa umejaribu idadi ya kutosha ya wazaume wazuri na wabaya na umegundua kuwa wazuri ndio hawajui kitu
Hongera zako dada
Yeah..but we may prove (me & u) if your research/survey has validity or just a fallacy![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana nimeuliza loool
Sent using Jamii Forums mobile app
We differ in level of thinking ,capability and brain maturity so the best we can do love is to respect her perception tuAt least she tried.
What she is doing right now is experimenting and that is very uncouth.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Duhh....[emoji47] [emoji47]
Nimepotea njia, nikidhani naelekea jukwaa la matangazo