Kwanini wanaume wazuri hawajui mapenzi

If her worry was not finding a smart man, a wealthy one or any other feature I wouldn't worry.

But her concern here is that the good looking men are not good fucks so what does that tell you?

Leaves alot to be desired.
 
Una maana wale "mahensamu" hawako njema kwenye Nyanja hiyo!!
Du ningesahau, japo haihusiani na mada yetu, JANA NILIONA PICHA ZA JK AKIVUNA MAHINDI SHAMBANI KWAKE
 
Mm mbona mzuri alafu najua?
 
Halafu kuna watu wanaponda mahb hivi hao wakina juan miguel mnaowapenda mnawaona wale ni wabaya?[emoji23][emoji23][emoji23] ni wazuri ndiyo maana mmevutiwa nao

Kuna watu ni mahb na wanajielewa... kulamba lips..cheni...mapete...matozi...hizo ni tabia za mtu haijalishi hb wala sio hb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! No comment

[emoji56][emoji94][emoji109]with my weather[emoji23][emoji23]
 
wak yukoj?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kweli mwanaume una hereni mara umesuka mhhhhh utaweza kuliamsha dude kweliiiii
 
Ata wadada warembo kwenye majamboz ni ovyo tu!

young kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…