By Mwanamayu "Hivi hizo tafiti ulizosoma hazijajibu hilo swali? Je, umejuaje kama wanapenda? Je, haiwezekani kama wanalazimishwa kupiga?
Kiukweli tafiti nyingi naona hazijajibu swali/mtazamo wangu kwa kina, lakini kama utaniruhusu kujibu swali lako kama haiwezekani wanalazimishwa kupiga. Nionavyo mtu yeyote akipigwa mara nyingu anapata maumivu pia hujisikia vibaya halikadhalika inaumiza Kisaikolojia. Kwani hakuna adhabu mbadala mpaka umpige muhusika, baadhi ya tafiti nilizosoma zinasema kuwa watu wenye kupenda kupiga wenzi wao ni WADHAIFU