Kwanini wanaume wengi wa kiafrika wanapenda wasichana vibonge wakati Ulaya wanapenda wembamba?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Waafrika wengi na hasa Wabongo wa kiume tunapenda wanawake wenye makalio makubwa yaani vibonge. Ulaya mwenye soko mwembamba. kwanini kuna tofauti hizi?
 

Attachments

  • IMG-20160530-WA0001.jpg
    78.6 KB · Views: 2,447
  • IMG-20160407-WA0028.jpg
    51.7 KB · Views: 970
Ukimsikiliza sheikh Kipozeo, unaweza kupata Hints katika uchunguzi wako huu.


Lakini Mkuu, ili zoezi lako lipendeze na kuvutia wachangiaji zaidi, ni vyema ukatuwekea japo vipicha viwili vitatu...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kibonge kina raha yake ndugu yangu, angalau unapata pa kushika-shika wakati wa vuta nikuvute tofauti na wale wembamba huwa hata kuwavua nguo ni mtihani kwangu.
 
Mifupa mtupie fisi nyama ya Simba tu.[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa mujibu wa research ya lini? Kafanya nani? Kote duniani ikiwemo Mm napenda models, hiyo mibonge haivutii kabisa. Vitu kama hicho cha pili
 
Waafrika wengi na hasa Wabongo wa kiume tunapenda wanawake wenye makalio makubwa yaani vibonge. Ulaya mwenye soko mwembamba. kwanini kuna tofauti hizi?

wanaume wa ulaya hawana mitalimbo yakufulia nazi vibamia vinawasumbua, vaisi vesa is truu
 
kwa uchunguzi upi mkuu mbona unawasemea watu bila kuwa na uhakika?
mbona na wale wanawake vibonge wakizungu mbona pia wanaolewa?
 
Mkia ni hatari na hakuna wa kufananisha. Hata vimbambau wana mvuto wake pia.
 
mi napenda mwanamke wa saizi asiwe mnene sana wala mwembamba
 
kwa uchunguzi upi mkuu mbona unawasemea watu bila kuwa na uhakika?
mbona na wale wanawake vibonge wakizungu mbona pia wanaolewa?
tunazungumzia wepi wanapendwa zaidi. hata Afrika wembamba wengi tu wameolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…