Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Kwani si kuna wanawake wenzie je kama huwa wanapeana michapo huko sio lazima awe na mchepuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiweke ki ujumla, kuna watumishi wapo vzuri[emoji3][emoji3].

Mli hudhuria mafunzo ya ndoa?? Ikitokea semina za wanandoa nenda naye.. Mtabadilika sana.

Changes[emoji352]
Hawezi kwenda huyo mkiwa ndani mnakauwa mnapishana kama baba mkwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shida hapo mwambie anavyokuwa mkali sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa aliwahi sema hata umpe mwanamke zawadi ya urais bado hatoridhika, sasa wewe unataka mwanaume wako awe na tabia za kike? huyo ndio mwanaume, mwanamke leo unamuonesha meno 32 kesho mawili kama sungura.
 
Kwako romantic ni nini..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo shemeji.. kubaliana na hali ilivyo uyaafurahie maisha....ndio mmeo...ushawahi kukamata mic...ilikuwaje??.....mahaba ni sanaa.....uyafurahie lazima uwe msanii....kuwa msanii kwa mmeo....polepole....utafika upendapo kufika....khila la kheri bibie...
 
Babu aliwahi kuniambia....siku ukijiona umemwelewa mwanamke,umekaribia kufa...
 
Mapenzi halisi hayapo... Yapo ya kudanganya kwa muda mfupi... Muda ukiisha lazima huwa ni kila mtu kuendelea au kuachanga.. Kwa vile ndoa ya kudumu , haitakuwa hivyo kwa vile mapenzi ya ndoa ni halisi.
 
Sio kweli , mtu huwa anabadilishwa sana usimkatishe tamaa

sent from toyota Allex
Mtu mzima habadiliki tabia. Huo ndio ukweli na akibadilika ni kwa muda mfupi. Huwezi mfundisha mtu kuwa romantic, kama hajui hajui. Mfundisheni jinsi ya kumbadilisha halafu baada ya miaka miwili aje hapa atuletee mrejesho.
Ni afadhali asingekuwa mlokole..kuwa romantic ni dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni nanga ni nanga tu hata uwe vipi.[emoji44], tena anajifanya yupo busy na kazi zake huko

Sent using Jamii Forums mobile app
sometimes kufanya fanya kila siku mnapokuwa mke na mume

hupelekea wanaume kuchoka/kuzoea,huwa nawambiaga watu

ukioa/ukiolewa sio ndio kila siku kwichi kwichi,sometimes mtu jikaze bana

hii mambo ya leo mme do kesho, kesho kutwa yani kwa wiki mna do mara 5

next week hata ushinde na chupi tu siwezi hata kushtuka,cause nimeshiba tyr.

Tena show ya Mume na mke mnapigana bao 5 per each game hivi hamu na

mwanamke naitoa wapi mimi,niache soma zangu biblia nianze hangaika kukufatisha.
 

Shukuru Mungu kakupa huyo kuna wenzako wanalia mme ikifika usiku ana kazi ya kunena kwa lugha tu na kuomba yaani mme yuko busy kukimbizana na shetani mpk anasahau majukumu yake wewe huyo wako endelea kumuombea tu atabadilika
 
Hee, umelala na wote na bado unalalamila unapotupa ushuhuda wako huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanikumbusha kipindi cha shule.
Kuna dada mtu wa neno anasema moat of ladies kundini wanapenda kudate na gangs japo wameokoka maana wapendwa wenzao wako straight sana [emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu duniani mnajitakia wenyewe mateso......mapenzi ni utundu na uchafu wakati mwingine.....kwenda chumvini , kula koni , kugusa tigo , kissing , romance etc ..vyote hivi unakosa sababu ya kukosa maarifa ..pole sana
 
Siyo wanaume tu,hata wanawake walokole wako vivyo hivyo.Jiulize unataka kusex mke anaanza kushusha sala ya kukemea pepo la ngono kwanza! Mzuka si utakata?????
 
Tunashare the same problem together... Mimi nin shida hiyo kwa wife...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…