Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

Jitahidi labda usiongee sana we deal na matendo
M'seduce kimahaba ukiwa nae na ye labda atafuata

ila Kila kitu naona kina gharama zake

u get mcha Mungu kupitiliza X Rated shows hawezi...mda mwingi anamsoma Yesu ss kumix na hizi shows anajicontradict lol

U get Mwanaume km wangu ni Master of XX shows ila ndo vileee ndugu msomaji siko mwenyewee kama ambavyo na ye ana mwenzie basi kila mtu roho juu ila siku zinaenda......hahahahaha looh nacheka sio kwa mazuri ila ndo maisha wengine tuliyojikuta tumechagua...u js cant have it all in life..NEVER
 
LadyRed, Haha, anachapa nje na wewe umeamua umwage mboga kweli? Sasa angalieni msijewaacha watoto, manake huko nje kuna upupu balaa.
 
Haha, anachapa nje na wewe umeamua umwage mboga kweli? Sasa angalieni msijewaacha watoto, manake huko nje kuna upupu balaa.
Tunajitahidi...unakua na mmoja tu nje si wengi

In life u js need to pick the things u wl settle with and a struggle....hamna perfection..kila mtu ana struggle na kitu flani..

Kama huyu bwana mwaminifu ila she wants Romance and Big shows
Wengine hizo zipo ila ndo vile kila mtu kipepeo anaruka ruka

i could kill for a stable faithful marriage km yeye ambavyo she struggling to rekindle the romance..

u cant have it all...na ukiona siku umepata jua kuna kingine utapoteza such is life...ni kwenda na hizo stages hivyo hivyo
 

Siku itafika atachoka, probably akigonga 50 kwenda mbele huko. Ni kweli hakuna perfect marriage na lazima kupambana na changamoto za ndoa...
 
Siku itafika atachoka, probably akigonga 50 kwenda mbele huko. Ni kweli hakuna perfect marriage na lazima kupambana na changamoto za ndoa...
True story
Huwezi kuwa mchepukaji 24/7 wala mwaminifu 24/7 ni season tu ktk maisha
 
Raha ya haya mambo lazima mkutane watu amabao kama ufahamu umewatoka wote.... Kufikishana ni lazima. Mimi mpnz wangu/baadae mke lazima ajiandae. kwanza deki ya ukweli sana kwa wiki japo mara 3 hiyo ni muhimu. Lakini lazima godoro libadilishwe usiku kwa wiki walau mara 3 pia. Na ni lazima pia mpenzi ujue fantasies za mwenzako na umfikishe. Kwa mfano wewe ungekuwa demu wangu mm ni lazima na wewe ujue BJ ya ukweli. Mimi siwezi kuwa na mtu asiyeweza nipiga hiyo kitu vya kutosha.

Achana na propaganda za kijinga heti kuwaza kazi sijui na nini muda wote..... huo ni ujuha. Kazi ni kitu kingine na mapenzi ni kitu kingine. Mapenzi ni lazima yafanywe katika ukamilifu wake bhana kwa kufikishana fantasies zenu. Bahati mbaya tu watu wanaoana kwa kutazama vigezo vingine na siyo fantansies zao kimahaba ndiyo maana ndoa nyingi watu haweshi kuchepuka.
 
Wishes ni one thing na uhalisia is another thing....

maisha lazma utizame vingi
Kama huyu alitaka mcha Mungu ila ndo hivyoo kakuta aliyoyakuta
 
Vunja ukimya, mwambie na Kama atakuelewa atabadilika taratibu, ila kuwa mwangalifu sana maana huwa wanabadilika vibaya kupelekea kuchepuka maana atapata shauku ya kutaka kujifunza zaidi ya usivyojua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wishes ni one thing na uhalisia is another thing....

maisha lazma utizame vingi
Kama huyu alitaka mcha Mungu ila ndo hivyoo kakuta aliyoyakuta
Unajua shida kubwa watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Mkisha kuwa mke na mume kwa taratibu zote za kiimani nothing prohibits you from doing sex in whichever style you wish except tu kinyume na maumbile. BJ inaruhusiwa na kupiga deki pia.... achana na vitu vingine vidogodogo sijui kumgeuza mwenzio hivi na vile au kuikalia na kadhalika. Shida ya walokole ukiwambia hivi vitu your free to do them wanaona huo ni utenda dhambi. Ni hawana elimu ya kutosha tu juu ya Mungu na mahusiano ya mapenzi. Ndiyo maana kuna mtu aliwahi sema hapa wake za walokole wanamegwa sana na masela na wanapenda kumegwa hivyo. Ni makosa ya wanaume wakilokole kama ilivyo case ya huyu dada.
 
Hiyo ndyo ndoa, ukimpata huyo romantic basi ujue ana mapungufu eneo flani,
So ushauri wangu wewe ndyo umfunze hayo unayohitaji, km uliweza ktk mengjne hata hilo utaweza, na isitoshe mwanamke hashindwi kumbadilisha mume wake akiamua, mtengenezeebmazingira ya yy kua romantic, mfanye akutamaninkila anapokuona,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, madam unanichekesha. Umesema hapigi deki coz wewe upo, na sasa unasema akipata likizo anaenda uvinza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji39]
Mnamletea mlokole story zenu za mtaani hawaelewii😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…