Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

Ivi na ile misururu ya wadada wakienda kwa waganga wakitaka wapendwe na waume zao?
Mnakumbuka jamaa aligeuzwa Chatu kisa dawa ya mapenzi!
 
Mapenz maelewano,
Raha ya penz mawacliano,
Raha ya penz u2ndu so kwa mbaba 2 pia kwa mmama,
Raha ya penz mauno pande zote mbili,
Kabla ya mechi iwepo nguvu ya kutosha hapa namansha msosi wa ukweli..
Mwanamke ucpoteze hak yako ktka mapenz jishughulishe, hutofkir kukosa penz lake...
Mbaba sahau kuhusu super shaft...
Dawa ni msosi wa nguvu,maji ya kutosha.,mazoez hata kutembea km 2 kwa cku kwenda na kurudi ni bonge la zoezi...
Kama mwenzio ana tatzo hilo, kaen chn mzungumze,mjue tatzo nini,sio lawama ha2tafka..
 
Matusi hayo mjomba, hebu angalia waganga wa asili walivyoongezeka, kila mtu siku hizi anatibu nguvu za kiume, kusoma hujui hata kuangalia picha?


They make an impression to the fools....
 
Tatizo kweli lipo lakini linasababishwa na mambo mengi mfano vyakula, magonjwa, na wanawake kutojituma!
 
Hebu muulizeni mama Ngina kama hapati habari yake.......................!
 


Hahahahahahhahahhaahaaaaaaaaaa......................lol........:smash::smash::smash:
 
Wanawake mmezidi kulalamika na nyie, Mara Pesa hatuna, Sasa hii nini mnaleta? Toeni ushirikiano kamili kila kitu kitajua sawa tuu!
 

Hao wanaume wachovu including na wewe?(Kama ni mwanaume)
 
chipsi kuku hizo.......

hawali vyakula bora.........

bia na nyama choma kwa sana...

mazoezi F!!!!

nguvu zitatoka wapi???????
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuu ndiyo maana wanawake wanauza pale Afrika sana maana mumw wake hamtoshelezi.
 
Neno!
wawili wanahusika.Ila wakaka mjitahidi kupokea criticism na kuzifanyia kazi pale mnapoona zinawahusu.
Halafu punguzeni mishemishe - mnabadilish amno wanawake.Ushajiuliza ni wanawake wangapi umewasugua kwa style tofauti tofauti? Mnajua hicho nacho kinasababisha kiwango kushuka? Hata machine hupumzishwa kufanyiwa service kila baada ya kilomita kadhaa.
 
eti bana utakuta wife anakubania mapaja kama nini, kiuno hakati?analala jama gogo, ukimpiga ki1 yatosha kesho unaenda nyumba ndogo unapopewa kisawasawa
 
Unaweza kupiga kimoja lakini kikawa cha ukweli...

you are right dude... wala huitaji kupiga migoli kibao; hicho hicho kimoja kikali mtu anasuuzika na roho yake; sana sana utaona anageuka upande wa pili na kulala usingizi mzito kama kapoteza fahamu vile
 

Hahaha,duh we nomaa.
Akiuliza mbona kadogo unalianzishia hapo hapo.
Kubwa umeiona wapi?
 
Unapokuwa uwanjani siku zote ni lazima uusome kwanza mchezo, baada ya hapo kama mchezo unahitaji kupiga sana chenga basi pisa sana ili uweze kumchosha mpinzani wako, ukiona ameshachoka basi wewe angalia kipa amekaaje kisha achia mashine, kwa kufanya hivyo hata mashabiki nao watakuona wewe ni kiboko. Sasa ukitaka kuanza tu mechi na kukimbilia golini kwenda kufunga hata mashabiki nao watajua tu kumbe leo hakuna cha maana. Chenga kwanza magoli baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…