Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

nilishasemahapa na sasa nasema tena..." enyi kina Dada... viungo vyenu mmevikomaza wenyewe... cjui mmevikomazaje.. tofauti kabisa na enzi za Mwalim...!!
 

majibu mepesi kwa maswali magumu.......................hivi raundi moja kwa kutwa haikutoshi wewe Kaunga?............kwa wiki unahitaji mara ngapi na mikupuo mingapi?...........................nifahamuvyo one trip per session does fine......for four to five days a week......................tatizo hapa ni trade off between quality versus quantity.........................and you can not have both.....................
 

tatizo ya hizi zinatofautiana na mawazo ya Darwin.........................use it or lose it...........................ingawaje nayo yana mipaka yake...............................
 
unajidanganya hawa jamaa wakiwa nyumba ndogo ni mwendo wa bao 5-6 kwa wife 1-0.

kama ni hiyo ni kweli, basi nyumba ndogo inakuwekea enabling environment ya ku-perform vizuri zaidi kuliko nyumba kubwa
 

Unaweza kuongelea vipi suala la kuongezeka kwa waganga wanaotangaza:-
1.Kutafuta mpenzi
2.Kuongeza makalio.
3.Kudumisha ndoa.......etc?
 
heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena

'kuwabinuabinua' au nyinyi wenyewe 'kubinuka' according to the flow?
 
kazi na majukumu ndo sababu kaka,ukirudi home umechoka, kesho yake alfajiri haupo, ile kitu ni kazi ngumu, unataka upige mpaka akuappreciate halafu iweje, kama haridhiki atimkie mbali, kisa cha mimi kufa kwa uchovu uliozidi nini? angalia hata vifo! wanaume tunakufa sana tunaacha wajane, so friend usijiumize kabisa.
 

Duh,......kumbe mna mateso sana eh haha poleni sana.
 
Unaweza kupiga kimoja lakini kikawa cha ukweli...

Ewaaaaaaaaaa,.....
You have said it all.
Kama kimoja unapiga dakika 30-40 kwanini urudie kingine?
Kwanza wanaume siku hizi wajanja sana,wanajua sababu ya waume wengi
kufa kabla ya wake zao ni kwasababu ya kukojoa kojoa,............

Nipige vitatu ili nani anisifu?
Pata kimoja cha dakika 30,...maandalizi nimekupa kama haujaridhika mmm tusiuane
katafute wasio penda kuishi maisha marefu.
 

Sasa mnakubali ehhh?
Nilianzisha mada ya hiyo ishu wanaume wenzio wakaninanga ile mbaya.
Waache wajiue kwa misifa lol
 
kama ni hiyo ni kweli, basi nyumba ndogo inakuwekea enabling environment ya ku-perform vizuri zaidi kuliko nyumba kubwa
na kama hali ndo hy ujue kbs kuwa mkeo naye ananyumba ndogo inayomridhisha kwelikweli ndo mana hahangaiki na wewe.
 
mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?

Ni balaaa,..
Unaweza pewa vi5 lakini vya dakika moja moja,....
wakati upapewa kimoja cha dakika 40,....kipi bora?

Ni kama unaletewa ugari tonge mbili,then unamega unaisha,haujashiba unasubiri
uanze kuandaliwa mwingine tena......hamu haiiishi tu ukiwa unasubiri?
 
hamna hawawezi kokote
wengine tumechezea number zote
tukubali tu ukweli wanaume tulio nao ni mwendo wa 1 bila moja bila

Duh,pole sana aisee.
sitashangaa ukisema habari za kileleni unazisoma tu kwenye maandishi.
Mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,....
 
Mlo bora (more vegetables )
Mazoezi ya kutosha
drink plenty of water
good sex life

Very simple recipe ..

Yaani ume simplify lakini ujumbe wako una
kila kitu........
Kuendelea kukataa tatizo sio kuliondoa tatizo,bali ni kulizidisha zaidi.

Tatizo ni jinsi gani ule vyema?
Maji kiasi gani?
Mazoezi gani???

Huh,thank God,...i know what it means kupiga gori moja,...i have been there.
Ina umiza zaidi kwa mwanaume kisaikolojia kuliko mwanamke na ukishindwa leo,na kesho,na kesho kutwa
basi tena,....lazima hofu itafanya kila siku ushindwe.
 
Dawa ni mchuzi wa pweza na kiroba cha konyagi check utakavyo nyosha goti
 
Na kwa Wanawake wasiotosheka vp? Nimeachana na mchumba wangu kwani nilihic alikua na ajenda ya kuniua.. KIDUME Nabamiza round 4, saa 2 ucku hadi 6 non stop lakini anasema hajatosheka... So hapo atasema mwanaume mchovu ama yeye ana pepo? Ukweli Wanawake hawatosheki...
 
Wana JF nashauri tumuombe Mtimkavu atupe mbinu/ushauri wa dawa za kisuna kuhusu suala hili.
 

Umetembea na waume za watu wengi eeeh?
 
Hali hii ndiyo inakusumbua wewe. Umepata wapi data, na kwa nini imekukera hadi ukaandika? Njoo nikupe dawa.
:A S 465:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…